Mkutano wa wataalam wa kiuchumi nchini DRC
11 Septemba 2008Matangazo
Mkutano wa siku tatu wa wataalam wa kiuchumi na wawekezaji wa sekta ya kibinafsi kutoka kwenye mataifa 11 ya jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Afrika ya kati walikutana mjini Kinshasa ambako walizungumzia changa moto ya kiuchumi katika nchi za kiafrika.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.