Mkutano wa wataalamu wa masuala ya afya nchini Tanzania
8 Aprili 2009Matangazo
Wataalam hao tayari wameonya dhidi ya kurejelea matumizi ya dawa ya DDT iliyopigwa marufuku kupambana na malaria.Dawa ya DDT inaripotiwa kusababisha athari katika mazingira vilevile binadamu.Pendekezo litakalofikiwa mwishoni mwa kikao hicho litajadiliwa mjini Stockholm mwezi ujao.
Mwandishi wetu wa Dar es salaam George Njogopa alihudhuria mkutano huo na kuandaa taarifa ifuatayo.
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Mohamed Abdulrahman