Suala la serikali kuipunguzia bajeti idara ya mahakama, imekosolewa sana na jaji mkuu mwenyewe David Maraga, ambaye amedai ni njama ya kuinyima idara yake makali. Msikilize wakili ambaye pia ni mchambuzi wa sheria Harun Ndubi kutoka Nairobi na kwanza anatoa fikra yake ikiwa hatua hiyo ni hila au njama dhidi ya idara ya mahakama.