1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Monique Mukuna Mutombo: Rais wa kwanza mwanamke DRC?

Mohammed Abdulrahman
11 Oktoba 2017

Mwanasiasa Monique Mukuna Mutombo ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, pale uchaguzi huo utakapoitishwa na tume ya uchaguzi ya taifa hilo CENI. Mutombo atakuwa mwanamke wa kwanza nchini Kongo kuwania nafasi hiyo ya juu kabisaa. Mohammed Abdul-Rahman anazungumza naye katika makala ya Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/2ldBq