1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpango wa "Tusome"

21 Agosti 2019

Sikiliza makala ya mpango wa kusoma iliyoandaliwa na Wakio Mbogho, mpango unaoimarisha uwezo wa kusoma miongoni mwa wanafunzi katika shule zilizoko maeneo ya mashinani nchini Kenya. ni mpango unaowalenga wanafunzi kutoka shule za chekechea nia ikiwa kubadili tamaduni za kutosoma.

https://p.dw.com/p/3OGjv