Janga la corona limevuruga mambo mengi. Wengi wamepoteza ajira. Wengi wameshindwa kuendelea na biashara zao kama ilivyokuwa zamani. Hali hii imesababisha wengi kubadili namna wanavyoishi. Kwenye kipindi cha Vijana Mchakamchaka tunaangazia tatizo la msongo wa mawazo kwa vijana kutokana na COVID-19. Bruce Amani anakujuza zaidi