1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mustakabali wa wakimbizi Kigoma

21 Juni 2018

Huku ulimwengu ukiwa unaadhimisha siku ya wakimbizi duniani Prosper Kwigize anaangazia madhila ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi walioko nchini Tanzania. Sikiliza makala haya ya Mbiu ya Mnyonge.

https://p.dw.com/p/302C9