Umetimia mwaka mmoja tangu alipofariki Etienne Tshisekedi, aliyekuwa kiongozi wa upinzani katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Mwili wake bado unahifadhiwa nchini Ubelgiji. Tulitembelea nyumbani kwake Kinshasa ambako wafuasi wanaendelea kutoa heshima. Papo kwa Papo 01.02.2018