Mwaka mmoja tangu ilipotokea ajali ya meli visiwani Zanzibar
10 Septemba 2012Matangazo
Meli ya Mv Spice Islander ilizama kwenye mkondo wa Nungwi ikitokea Unguja kuelekea Pemba, ambapo zaidi ya watu 1,000 waliripotiwa kufa na au kupotea, huku mali isiyojuilikana thamani yake ikighariki na meli hiyo ya mizigo. Mohammed Khelef amezungumza na Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Rashid Seif, anayeanza kwa kuuzungumzia mwaka huu mmoja tangu kutokea kwa ajali hiyo:
(Kusikiliza mahojiano bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mahojiano:Khelef/Rashid
Mhariri: Mohammed Abdulrahman