1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwaka mmoja tangu kifo cha Tshisekedi

1 Februari 2018

Ni mwaka mmoja tangu kifo cha kiongozi mkuu wa upinzani huko DRC Etienne Tshisekedi. Mwili wake ungali Ubelgiji kutokana na mvutano kati ya familia yake na serikali. Msemaji wa chama cha upinzani cha UDPS Valentin Mubake anazungumzia kinachoendelea.

https://p.dw.com/p/2rt2l