1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanafunzi wa Kitanzani ashambuliwa India

Sudi Mnette4 Februari 2016

Watu watano wametiwa mbaroni nchini India baada ya mkasa wa kuvamiwa msichana wa Kitanzania na kuvuliwa nguo mjini Bangalore. Sikiliza mahojiano na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mindi Kasiga akieleza kwa nini hali imekuwa hivyo wakati huu.

https://p.dw.com/p/1Hpe5