Mwanaharakati anaetaka kuibadilisha Goma kwa muziki
Muziki
Yusra Buwayhid
10 Aprili 2019
Muziki kweli unaweza kubadilisha dunia? Mwanaharakati Yves Kalwira kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anatarajia kufanikiwa na hilo. Anawakusanya pamoja wanamuziki wenye vipaji mjini mwake, ili kuutangaza mji huo duniani kote.