Mzee wa Kampala anayewasaidia wanafunzi kuvuka barabara
7 Julai 2015
Maisha ya mzee mmoja ambaye kwa kipindi cha zaidi ya miaka 27 amekuwa akiwasaidia watoto wa shule za msingi mjini Kampala, nchini Uganda, kuvuka barabara. Kazi hii anaifanya bila malipo yoyote.