1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Naibu Jaji Mkuu Kenya akamatwa

29 Agosti 2018

Naibu Jaji Mkuu nchini Kenya Philemona Mwilu amefikishwa mahakamani muda mfupi baada ya kutiwa nguvuni kwa madai ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Mahakama imemuachilia kwa dhamana ya shilingi milioni tano.

https://p.dw.com/p/33wQo
Jaji Philomena Mwilu
Picha: Getty Images/AFP/Y. Chiba

J3 Kenya Deputy Judge Charged - MP3-Stereo

Mwilu alitiwa nguvuni punde tu baada ya kuhudhuria kikao kilichoandaliwa na tume ya kuajiri wafanyakazi wa idara ya mahakama. Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji amesema kuwa wana ushahidi wa kutosha wa kumfungulia mashataka jaji huyo.