1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nchi jirani na Zambia zijifunze nini?

17 Agosti 2021

Rais mteule wa Zambia Hakainde Hichilema akizungumza muda mfupi baada ya Rais Edgar Lungu kukubali kushindwa amesema washirika wake wa karibu ni waathiriwa wa serikali ya kikatili inayoondoka madarakani. Hichilema ameahidi kuwatumikia raia wote wa Zambia bila kujali iwapo walimpigia kura au la. Bruce Amani amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa Jenerali Ulimwengu.

https://p.dw.com/p/3z5EB