Wahariri nchini Ujerumani wametuwama kwenye mada mbali mbali ikiwamo,chanjo ya Covid-19. Nchi za kiafrika zitaendelea kusubiria chanjo hiyo hadi nchi tajiri zitakamaliza kushughulikia watu wake,hivyo ndivyo baadhi ya wahariri wa magazeti ya Ujerumani walivyotathmini utolewaji wa chanjo hiyo.Lakini pia Uchaguzi wa jamhuri ya Afrika ya kati umeangaziwa. Sikiliza Afrika katika magazeti ya Ujerumani