Katika Kinagaubaga Saleh Mwanamilongo amemualika Nehemie Mwilanya ambaye alikuwa moja ya watu wenye ushawishi chini ya utawala wa Rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila. Allikuwa kiongozi wa ofisi ya rais na mratibu wa vuguvugu la vyama vilivyomuunga mkono Kabila maarufu FCC. Leo hii ameandika kitabu kuhusu urithi wa miaka 18 ya uongozi wa Kabila. Sikiliza kwa kina.