1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW DELHI: Waziri Mkuu wa India Atal Behari Vajpayee amesema kuwa kamati ...

12 Januari 2004
https://p.dw.com/p/CFjv
kuu ya utendaji ya chama tawala cha Mabaniani wa kizalendo BJP imetaka kuitishwa uchaguzi mapema wa bunge. Akizuru Hyderbad, Vajpayee hakudhukuru tarehe, isipokuwa panajadiliwa lini kuitishwa. Wakuu wa chama wananongona ni mwezi Aprili, miezi sita kabla ya kumalizika awamu ya Vajpayee. Waletaji habari wanasema hali hii itanufaisha kwa kuwa uchumi unaendelea kusitawi wa India, na isitoshe unachangamka uhusiano baina ya India na Pakistan.