1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini kimechangia Iran na Saudi Arabia kufufua mahusiano?

Sudi Mnette6 Aprili 2023

Iran na Saudi ya Arabia kukubaliana kurejesha mahusinao yao baada ya uhasama wa wazi wa miaka 7. Tumezungumza na mjuzi katika siasa za eneo la Mashariki ya Kati Abdul Fatah Musa je ana mtazamo gani kwa hatua hiyo?

https://p.dw.com/p/4Pn1n