Baada ya viongozi wawili wa vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujitoa katika makubaliano ya kumuunga mkono mgombea mmoja wa upinzani. Felix Tshisekedi wa chama cha UDPS na Vital Kamarhe wa UNC ya kumuunga mkono Martin Fayulu kuwa mgombea wa upinzani, mchambuzi wa masuala ya kisiasa Congo Dalphine Kapaya anaelezea hatima ya upinzani huko DRC.