Nchini Tanzania njia mpya ya upimaji wa virusi vya ukimwi ya Index Testing inatajwa kuwa na mafanikiwa makubwa. Njia hiyo inalenga kuondoa maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa asilimia 90 ifikapo 2030. Je, njia hiyo inafanya kazi vipi. Ungana na Veronica Natalis ujue zaidi.