1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Omweso, mchezo wa bao unaosahaulika Uganda

21 Juni 2021

Licha ya mchezo wa bao kwa jina Omweso kuwa mashuhuri miongoni mwa watu wa makamo nchini Uganda, lakini haufahamiki sana na vijana wa kisasa. Ibrahim Shoaib anauangalia utamaduni huu wa aina yake unaopotea kwa kasi. Kurunzi 21.06.2021.

https://p.dw.com/p/3vI0q