1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la bei ya mafuta na changamoto za usafirishaji Kenya

Thelma Mwadzaya / MMT1 Aprili 2021

Nchini Kenya hali inazidi kuwa tete na hasa kwenye sekta ya usafirishaji. Baada ya bei ya mafuta kupanda wasafirishaji nao wanaongeza gharama za uendeshaji. Kulikoni? Sikiliza makala haya yaliyoandaliwa na Thelma Mwadazaya usikie zaidi kutoka huko.

https://p.dw.com/p/3rTBk