1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papo kwa Papo 23.05.2016

23 Mei 2016

Mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu msaada wa kiutu wafanyika Istanbul, Uturuki. Katibu mkuu Ban ayataka mataifa kuheshimu sheria za kimtaifa za vita, Rais Barack Obama aanza ziara ya siku tano barani Asia, aiondolea vikwazo Vietnam, Papa Francis akutana na Imam mkuu wa msikiti wa Azhar.

https://p.dw.com/p/1ItAt