Poland inataka kuchukua jukumu zaidi nchini Afghanistan
2 Januari 2008Matangazo
WARSAW:
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Poland-Bodgan Klich amesema kuwa nchi yake itakubali kuwajibika zaidi ikitoa msaada wa kijeshi nchini Afghanistan.
Waziri amesema hayo katika mahojiano na gazeti moja nchini mwake.Kwa mujibu wa gazeti hilo Poland inataka kuchukua jukumu zaidi katika mkoa wa Afganistan wa Paktika unaopakana na Pakistan.