1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi aliyemuua mwandamanaji ahukumiwa DRC

27 Februari 2018

Mahakama ya kijeshi kaskazini magharibi mwa DRC imemhukumu kifungo cha maisha jela afisa wa polisi aliyefyatua risasi na kumuua mmoja wa wandamanaji wanaompinga rais Joseph Kabila. Polisi mwingine kufikishwa mahakamani.

https://p.dw.com/p/2tOUP
Maandamano Kinshasa
Picha: Reuters/G. Tomasevic

J2.27.02.2018 Kifungo jela - MP3-Stereo