1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Kenya kuwashitaki wanasiasa wachochezi

14 Juni 2016

Papo kwa Papo 14.06.2016: Polisi Kenya yawachunguza wanasiasa 7 kwa tuhuma za kueneza uchochezi wa chuki, serikali ya Ufaransa yasema mauaji ya polisi na mpenziwe ni shambulio la kigaidi na katika EURO 2016 Italia yailaza Ubelgiji mabao 2-0

https://p.dw.com/p/1J6QH