Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwabadilisha makamishna wote wa polisi baada ya kuahidi kukomesha ukatili wa polisi uliokuwa ukifanywa wakati wa utawala uliopita. Hichilema mwenyewe, amewahi kukamatwa mara kadhaa katika harakati zake za kisiasa. Sudi Mnette amezungumna na msomi, na mjuzi wa siasa za Afrika, Mwalimu Azaveli Lwaitama.