Rais Kabila aiambia Ubelgiji isiingilie masuala ya ndani ya nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
25 Aprili 2008Matangazo
Rais Kabila alisema hawezi kamwe kukubali viongozi au wanasiasa wa nchi nyengine kuingilia kati masuala ya ndani ya Kongo.
Hayo yanafuatia matamshi ya waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ubelgiji Karel de Gucht , kama anavyosimulia zaidi mwandishi wetu huko Kinshasa, Saleh Mwanamilongo.