Rais Joseph Kabila amependekeza kuanzisha ushirikiano kati ya vuguvugu la vyama vinavyomuunga mkono na rais mteule Felix Tshisekedi kwa ajili ya kuunda serikali ya mseto.
https://p.dw.com/p/3BVXs
Matangazo
Wakati huohuo kumezuka mzozo ndani ya vuguvugu la Rais Kabila kufuatia matokeo ya uchaguzi wa bunge. Saleh Mwanamilongo amekuandalia ripoti ifuatayo.