Rais Kabila awasili Goma,Mashariki mwa Kongo
10 Aprili 2012Matangazo
Akiwa hajatamka lolote kuhusu ziara yake,inadhaniwa kua, ziara hiyo inalenga kufuatilia kwa karibu sana hali ya mambo.
Na wakati huohuo,naye muwakilishi maalumu wa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa katika DRC amewasili Goma kwa lengo hilo tu.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Mohamed Abdulrahman