Rais Kabila wa DRC awataka makundi ya wapiganaji eneo la Kivu kutekeleza mpango wa amani
19 Septemba 2008Matangazo
Rais Kabila ametupilia mbali mazungumzo ya moja kwa moja na wapiganaji wa CNDP kama wanavyodai.Kwa wakati huohuo mandamano yanayopinga kuzuka upya kwa mapigano yamefanyika mjini Kinshasa,Kisangani na Bukavu.
Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo ana taarifa zaidi.