1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kenyatta alihutubia taifa

13 Novemba 2020

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alihutubia taifa na kuwapongeza wahudumu wa afya kwa mchango wao kwenye vita dhidi ya COVID-19, janga ambalo lilianza wakati uchumi wa Kenya ulikuwa unaimarika kwa 5.4% tangu mwaka 2019.

https://p.dw.com/p/3lFVt