1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiAmerika ya Kaskazini

Trump kutoa ushahidi juu ya udandanyifu wa mali zake

6 Novemba 2023

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump leo anatarajiwa kujitetea mbele ya mahakama ya Manhattan katika kesi inayomhusisha na udanganyifu kuhusiana na thamani ya mali zake.

https://p.dw.com/p/4YRzh
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump akiwa na askari mahakamani
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump akiwa na askari mahakamaniPicha: Timothy A. Clary/AFP

Mashtaka yanayomkabili Trump katika kesi hiyo yanagusa mali na biashara zake alizozijenga kwa miongo. 

Soma pia:Vikao vya kusikiliza kesi za kumzuia Trump asigombee vyaanza

Kufikika mahakamani leo kwa Trump huenda pia kukawa ni mwanzo wa kile ambacho kiinaweza kuamuwa juu ya mustakabali  wake katika uchaguzi wa mwaka 2024  ikiwa atateuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais
 

DW Kiswahili | Saumu Mwasimba
Saumu Mwasimba Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW