1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Riek Machar amevuliwa madaraka kama kiongozi wa chama

Babu Abdalla4 Agosti 2021

Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amevuliwa madaraka kama kiongozi wa chama chake, huku wapinzani wake wakimshtumu kutowakilisha tena maslahi yao. Je, kuvuliwa uwenyekiti kuna athari gani kwa siasa za Sudan Kusini?

https://p.dw.com/p/3yY06