1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda: Hatutamkamata Omar al Bashir

14 Julai 2016

Katika mkutano wa Umoja wa Afrika unaofanyika Kigali, Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise Mushikiwabo, ametangaza nchi yake haiko tayari kumkamata Rais wa Sudan atakapohudhuria kikao cha marais.

https://p.dw.com/p/1JOyJ
München Louise Mushikiwabo Außenministerin Ruanda
Picha: picture-alliance/dpa/T. Hase

[No title]