Nchini Rwanda kunafanyika mkutano wa makamishna wakuu wa tume za haki za binadamu kutoka nchi za Jumuiya ya Madola. Mkutano huo wa kilele utafanyika baadaye wiki ijayo ambapo zaidi ya wakuu wa nchi 50 wanachama wanatazamiwa kuhudhuria. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Kigali Sylivanus Karemera.