Sakata la kufungwa kwa chombo cha habari DRC
15 Desemba 2011Matangazo
Tangu kutolewa kwa matokeo ya uchaguzi katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na kumpa rais wa sasa joseph kabila ushindi wa asilimia 49, kumekuwa na utata juu ya matokeo hayo. Kituo kimoja cha habari kimefungwa nchini humo kwa shutuma za kuchochea ghasia. Sikiliza mahojiano ya Amina Aboubakar amezungumza na mwenyekiti wa halmashauri ya upashaji habari nchini Congo Bw .Jean Bosco juu ya swala hilo.
Mhariri :Mohammed Abdulrahman