You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani kuipatia Ugiriki Euro bilioni 22.4
Taarifa hiyo imetangazwa na Kansela Angela Merkel, baada ya baraza lake la mawaziri kupitisha kiasi hicho cha fedha.
Msaada wa dharura wa Euro bilioni 30 upo tayari
Thamani ya sarafu ya Euro imepanda katika masoko ya fedha, baada ya nchi zinazotumia sarafu ya Euro kutangaza kuwa kanda hiyo ipo tayari kuipatia Ugiriki msaada wa dharura wa Euro bilioni 30.
Umoja wa Ulaya watoa euro milioni 2 Philippines
Ni katika kuwasaidia waathirika wa mafuriko
Sarafu ya Euro yajidhihirisha kuwa ngao ya uthabiti.
Nchi za umoja wa sarafu ya Euro hivi sasa zina wakaazi wapatao 320, na sarafu hiyo hivi sasa inaonekana duniani kuwa itatumika katika shughuli za ubadilishanaji fedha katika mabenki.
Euro Billioni 50 kutumika kuupiga jeki uchumi wa Ujerumani
Serikali ya mseto ya vyama vikuu viwili hapa Ujerumani, CDU/CSU na SPD, imeupitisha mpango mkubwa kabisa wa kuupiga jeki uchumi kuwahi kuonekana hapa nchini. Kutokana na mpango huo, serekali itatoa Euro bilioni 50.
Ujerumani yaidhinisha kitita cha yuro bilioni 50 kuusadia uchumi wake
Mpango huu unalenga kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi na kulinda nafasi za ajira
Masoko ya fedha : Dollar ya Marekani yapaa dhidi ya Euro.
Sarafu ya Dollar imepanda thamani kwa karibu asilimia 12 dhidi ya Euro tangu kuanzishwa kwake 1999. Sababu ni wawekezaji kutaka kupata sarafu ya dola ili kulipia madeni yao.
Ujerumani yachangia Euro bilioni 500
Kurejesha utulivu katika soko la fedha,serikali ya Ujerumani inachangia Euro bilioni 500.
Benki ya Kfw yamimina kwa shimoni bila ya kujua mamilioni ya Yuro
Kishindo cha benki zilizofilisika chaitikisa benki moja ya Ujerumani
EURO 2008 yaingia Nusu Fainali
Italy yatolewa Uhispania yasonga mbele
EURO 2008 yaingia robo fainali
Ujerumani na Ureno uwanjani kwanza
Leo ni Ujerumani na Austria katika EURO 2008
Kansela Angela Merkel kuhudhuria pambano hilo
Croatia yasonga mbele katika EURO 2008
Ujerumani yabwagwa mara hii nchini Austria
EURO 2008 yazidi kupamba moto
Uswisi nje na Ujerumani uwanjani tena leo alhamisi
Fainali za kombe la mataifa ya Ulaya-Euro 2008.
Mashindano haya yanaendelea leo kwa msisimko mkubwa. Hapo jana Uhispania ilionyesha dimba la aina yake mbele ya Warusi huku Sweden ikawaadhibu mabingwa watetzezi Ugiriki.
Uholanzi yaanza kwa kishindo Euro 2008
Italia jana usiku ilianza michuano kuwania taji la ubingwa wa soka barani Ulaya kwa kishindo, baada ya kuwachapa mabingwa wa dunia Italia mabao 3-0
Kinyang'anyiro cha soka cha EURO 2008 chaanza
Ujerumani yapata ushindi wa kwanza
Euro milioni 500 kusaidia kuhifadhi misitu iliyo hatarini
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel alipohotubia mkutano wa uhai anuai wa Umoja wa Mataifa mjini Bonn hii leo,aliahidi mchango wa Euro milioni 500 kusaidia kuhifadhi misitu iliyo katika hatari ya kutoweka duniani.
Euro yapanda dhidi ya dola ya Marekani.
Euro moja imefikia dola moja na nusu na hali hiyo imezusha upya wasi wasi kwamba huenda uchumi wa Marekani ukaingia kwenye msukosuko.
Thamani ya sarafu ya Euro imevunja rekodi
Wateja wa benki ya pili kwa ukubwa Ufaransa watapeliwa Euro billioni 5
Umoja wa Ulaya kutoa euro milioni 440 kwa Palestina
Ujerumani kutowa euro milioni 200 kwa Wapalestina
Mkuu wa Airbus aonya dhidi ya kuimarika sarafu ya euro
England haimo Euro 2008
Orodha ya timu 16 zitakazoania kombe la Ulaya la mataifa kuanzia Juni 7 mwakani nchini Uswisi na Austria, sasa imekamilika,lakini bila ya Uingereza,”mama wa kabumbu”.
BERLIN: Hasara ya Euro milioni 50 kila siku moja
Yuro milioni moja kwa atakaetoa habari mpaka Mladic akakamatwe
Dola yashuka, Euro yapanda
Thamani ya sarafu ya Dola ya Kimarekani inazidi kupungua na ile ya EURO inaongezeka ikilinganishwa na Dola. Ni jambo ambalo linasababisha athari na faida kwenye pande zote mbili.
ROMA: Euro milioni 360 kutolewa kuisadia Afghanistan
BRUSSELS: Cyprus na Malta kuanza kutumia Euro
mabilioni ya yuro kuinusuru dunia isiangamie kwa joto
BERLIN : Kerkorian kununuwa Chryler kwa euro bilioni 3.3
MAPUTO : Umoja wa Ulaya kuisadia Msumbiji euro milioni 2
JERUSALEM : Israel yaachilia euro milioni 77 za Wapalestina
ACHEH:ujerumani yatoa euro milioni 20 kuwasaidia wahanga watsunami Acheh
SINGAPORE: Ujerumani yapinga kiti kimoja kwa eneo la Euro
Brussels.Umoja wa Ulaya watenga Euro milioni 16 kwa ajili ya uchaguzi Kongo.
BERLIN : Zawadi ya euro 50,000 ya kukamatwa mtuhumiwa
TORONTO; Ujerumani aahidi Euro milioni 400 kila mwaka kusaidia juhudi za kupambana na maradhi ya ukimwi
THE HAGUE: Uholanzi kutoa yuro milioni 4.5
BRUSSELS:Kampuni ya Microsoft yatozwa faini ya Euro 280 na tume ya Ulaya
BRUSSELS: Slovenia kutumia Euro kuanzia mwaka 2007
STADI WA GHANA MICHAEL ESSIEN KUUZWA KWA EURO Mil.45:
Pendekezo la waziri wa Italia kuwa na sarafu ya taifa badala ya Euro lakosolewa
BERLIN : Ujerumani yaipatia Somaliland msaada wa euro 455,000.00
COLOMBO: Sri Lanka yapokea zaidi ya Euro Bilioni moja.
MAPATANO YA SARAFU YA EURO MASHAKANI
Brussels. Sheria za bajeti zikikiukwa zitaathiri Euro ,ECB.
Ujerumani yapewa darasa na Hungary na Ureno yatumai kuvuna Euro milioni 262 kutoka kombe la ulaya.
Mailand: Euro zaidi ya bilioni 50 zimetumika mwaka huu kugharimia shughuli...
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 10
Ukurasa unaofuatia