1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Semina ya maafisa wa kijeshi Afrika, mjini Addis Abeba,Ethiopia

2 Machi 2007

Profesa Wangari Mathai, mshindi wa zawadi ya Nobel kwa amani 2004 na mwanamazingira wa Kenya na Afrika kwa jumla, amechangia kwenye semina ya maafisa wa kijeshi wa Afrika inayoendelea mjini Addis Abeba,Ethiopia.Inahusika na usalama wa watu na mazingira.

https://p.dw.com/p/CHJ2
Prof.Wangari Mathai mshindi wa Nobel kwa amani 2004 na mwanamazingira wa Kenya
Prof.Wangari Mathai mshindi wa Nobel kwa amani 2004 na mwanamazingira wa KenyaPicha: AP

Maafisa wa kijeshi kutoka nchi 45 za Afrika wanashiriki katika semina hii ya wiki 2 ikizungumzia mada mbali mbali juu ya usalama na amani, vita dhidi ya ugaidi na uhusiano kati ya raia na majeshi.

Mwandsihi wetu Anaclet Rwegayura alizungumza na Bibi Wangari Mathai.