1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya DRC na M23 warudi tena kwenye mazungumzo

8 Aprili 2013

Wiki tatu baada ya kusitishwa kwa mazungumzo ya amani kati ya waasi wa M23 na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wajumbe kutoka pande zote mbili zinazozozana wamerudi mjini Kampala kuanzisha tena mazungumzo.

https://p.dw.com/p/18Bc2
Mazungumzo kati ya Serikali ya DRC na M23 yaanza tena huko Kampala
Mazungumzo kati ya Serikali ya DRC na M23 yaanza tena huko KampalaPicha: DW/J.Kanyunyu

 Hata hivyo, waasi wa M23 wanailaumu serikali kwa kutumia mazungumzo ya amani ya Kampala kujiandaa kwa vita na kuilaghai jumuiya ya kimataifa. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi. Kuiskiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi:  Leyla Ndinda

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi