Serikali ya Ujerumani yatoa msaada DRC
8 Desemba 2008Matangazo
Naibu waziri wa kwenye wizara ya uhusiano wa kiuchumi na maendeleo wa ujerumani Erich Stather amesaini mjini Kinshasa na serikali ya nchi hiyo mkataba wa Euro 72.5 milioni ya msaada wa kiutu,huduma ya maji safi kwa wananchi wa mashamabani na ulinzi wa mazingira.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.