1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sharleen Amonda atia fora katika Karate

29 Februari 2016

Sharleen Amonda ni mchezaji wa karate maarufu zaidi nchini Zimbabwe na anadhamiria kushiriki mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2016. Kwa mwanamke huyo wa miaka 27, siku kwake huanza kabla ya mapambazuko.

https://p.dw.com/p/1I4Nj
Africa on the move Sharleen Amonda
Picha: DW/S. Möhl

Amoda avunja kuta za jinsia katika Karate