Shindano la Learning by Ear limefungwa
8 Agosti 2012Matangazo
Tunawashukuru washiriki wote kwa hadithi zao za kusisimua!
Kutokana na idadi kubwa za hadithi tulizozipokea, itachukua muda mpaka kundi litakaloshinda kuchaguliwa. Hivi sasa Jopo la waamuzi limo katika kupitia hadithi zenu kwa makini. Asante kwa uvumilivu wenu.
Kila la kheri kutoka timu ya LBE!