Serikali ya Rwanda imezifunga shule na maeneo ya ibada pamoja na sehemu nyingine zinazowakutanisha watu wengi, kutokana na kupanda kwa maambukizi ya virus vya Covid-19. Hatua hizi zimechukuliwa hasa katika mji mkuu wa Rwanda Kigali na katika wilaya 8 za nchi hiyo. Isikilize ripoti ya Sylvanus Karemera.