1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shule zafungwa mjini Kigali kutokana na COVID-19

18 Januari 2021

Serikali ya Rwanda imezifunga shule zote za serikali na zile za binafsi zilizoko kwenye mji mkuu, Kigali kufuatia ongezeko lisilo la kawaida la maambukizi ya virusi vya corona. Sikiliza ripoti ya Slyvanius Karemera kutoka Kigali.

https://p.dw.com/p/3o5YQ