1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siasa za DRC baada ya matokeo ya uchaguzi

15 Januari 2019

https://p.dw.com/p/3BZ3O

Siasa za Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zinaelekea wapi baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa urais wa Desemba 30? Je uchaguzi huo ulikuwa wa haki? Hilo ni moja ya maswali ambayo Rashid Chilumba amemuuliza Emerie Damien Kalwira, kiongozi wa muungano wa Wakongomani katika kipindi cha mpito bila Rais Joseph Kabila, katika kipindi cha Kinagaubaga.