1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sikiliza mahojiano ya mkutano wa mabadiliko ya tabianchi

3 Desemba 2019

Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Umoja wa Mataifa ipo katika hatua ya kuweka rekodi kwamba muongo huu ndio wenye joto zaidi duniani. Ripoti iliyozinduliwa kandoni mwa mkutano wa mabadiliko ya Tabianchi mjini Madrid, COP25 inaonesha tangu miaka ya 80 joto limekuwa likiongezeka kwa kila muongo. Msikilize Dokta Richard Muyungi anayeiwakilisha Afrika katika fuko la Mabadiliko ya Tabia Nchi.

https://p.dw.com/p/3U8DT