Siku ya mwisho kwa upinzani Burundi kubatilisha msimamo kuhusu uchaguzi wa rais
7 Juni 2010Matangazo
Hali ya kisiasa nchini Burundi bado ni tete na chama kingine cha upinzani kimejiunga na muungano wa vyama vya upinzani vinayvopanga kususia uchaguzi wa urais wa mwezi Juni mwaka huu ikiwa tume ya uchaguzi haitabadilishwa.
Peter Moss amezungumza na msemaji wa muungano huo Bwana Mugwengezo Shuvineu na nilianza kwa kumuuliza kuhusu mikakati ya muungano huo na mwelekeo wa sasa wa kisiasa nchini Burundi.
Mwandishi, Peter Moss, Mugwengezo Shuvineu
Mhariri, Othman Miraji.