1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sintofahamu yaibuka Congo

13 Novemba 2018

Viongozi wawili wa vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamejitoa katika makubaliano ya kumuunga mkono mgombea mmoja wa upinzani. Felix Tshisekedi wa chama cha UDPS na Vital Kamerhe wa UNC

https://p.dw.com/p/3895l